DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, December 25, 2013

AFANDE SELE AELEZA MAFANIKIO YA ‘DINI TUMELETEWA’

























Seleman Msindi maarufu kama Afande Sele amefunguka juu ya mafanikio yalitokana na wimbo wake wa ‘Dini Tumeletewa’.

“Mambo makuu mawili ambayo ni binafsi sitayasahau niliyoyafanya / kunitokea katika mwaka huu, ni kazi yangu ya DINI TUMELETEWA ambayo nimefanikiwa/tumefanikiwa kurudisha umoja wetu kama watz! ambao kwa kiasi flani kama uliyumba kwa kasumba za udini, la pili ni pale niliposumbuliwa na MARADHI.. tushukuru kwa yote! tumuombe Mungu tuumalize mwaka salama, pendo moja.” – Afande Sele

No comments: