Avril Nyambura, mwanadada ambaye anafanya vizuri katika sanaa ya muziki
huko nchini Kenya, ameripotiwa kuingia rasmi katika uchumba baada ya
mpenzi wake wa muda sasa kuamua kumvisha pete tayari kabisa kwa safari a
kuelekea katika ndoa.
Mchumba wa Avril amefahamika kuwa ni raia wa Afrika Kusini ambaye ana makazi yake huko Kenya, na yarari pande zote mbili zimekwishatambulishana kwa wazazi, na harusi yao inatarajiwa kufanyika kati kati ya mwaka ujao.
Msanii huyu ambaye anaonekana kuwa katika dimbwi zito la mapenzi kwa sasa ameamua kuweka mambo hadharani hasa baada ya kufanya masuala yake ya mahusiano kuwa siri kwa muda mrefu.

No comments:
Post a Comment