Bebe Cool amekuwa mwanamuziki wa kwanza kuonyesha hisia zake za kutounga
mkono muswada wa kupinga ushoga uliopitishwa na hivi karibuni ambao
sasa unangojea tu kutiwa saini na Rais Yoweri Museveni ndani ya siku 30
baada ya kuupitia na kuuona kama unafaa kuwa sheria.
Mkali huyo wa Kibao cha 'Tozimba Mutima, ameonyesha hisia zake hizo kupitia ukurasa wake wa facebook, kwa kuandika "anawaunga mkono mashoga na yeye hana haki ya kuwahukumu".
Bebe Cool amesema kuwa anahofu mamilioni ya raia wa Uganda watakuwa katika nafasi ya kupoteza iwapo watashindwa kuyavumilia makundi madogo kama ya mashoga.
Posti hiyo ya Bebe Cool imeonekana kuvutia hisia za wananchi wengi wa Uganda ambapo imepata like zaidi ay 1000 na kuchangiwa zaidi ya mara 5000.

No comments:
Post a Comment