DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, December 25, 2013

IFAHAMU GEMENIH YA BARNABA & AMINI.






















 

No one doubt juu ya uwezo wa utunzi, uimbaji na hata kumiliki jukwaa that Amini na Barnaba have.

Now wapo kwenye crew moja iliyotambulishwa na hit ya kwanza called “Why me”. Behind of mziki wanaoufanya guys wana michongo mingi waliyoiandaa ndani ya Gemenih.”Gemenih ina mambo mengi sana ndani yake ila kwa sasa tumeanza na kufanya album ya kundi yenye nyimbo saba ambazo zote tutazifanyia video, ili kuleta utofauti kwenye gemu la Tzee” Moses, da crew manager told BKcop.
Mbali na kufanya hayo, in this year album gonna be lounged officially ikifuatiwa na ziara kuzunguka mikoa yote ya Tzee. But that is not the big issue for them coz wana miaka isiyopungua nane tangu waanze harakati za kuianzisha Gemenih, now what is the fact inside it
“Hii ni kampuni, talent center lakini pia ni foundation ndani yake huku ikiundwa na wasanii ambao wote ni mabalozi wa ‘Haki elimu’ na ‘Malaria’ ambao two months to come watakuwa na ziara UK kama mabalozi, in short watanzania watarajie mazuri zaidi kutoka kwetu,” Moses added
Kundi hilo tayari limeagiza vifaa vyake vya bendi ambapo watakuwa na bendi yao watakayoajiri vijana wengine. Till now wana sponsors wawili for Foundation na wengine wapo nao mezani huku invitation to others ikiwa wazi

No comments: