Prodyuza maarufu anayemiliki studio label
yake ya FishCrab nchini Tanzania Lamar, katika kufunga mwaka huu wa
2013 hakuacha kutoa ya moyoni kuhusiana na jinsi muziki wa Bongofleva
unavyopoteza muelekeo haswa kwa maprodyuza kuigana mno katika kuprodyuz
muziki.
Lamar ameongea na enewz akisema kuwa ni kwa muda mrefu amekuwa akikerwa sana na maprodyuza mbalimbali ambao huwa hawajitumi na zaidi ya hapo ni kukopi na kupaste kazi za wenzao bila ridhaa zao.
Lamar ametoa mfano kwa msanii wa muziki Diamond ni jinsi gani baadhi ya maprodyuza wamekuwa wakitumia njia hiyo ya kukopi beats za nyimbo zake na kuanza kuzitumia kwa manufaa yao binafsi kiasi cha kuchangia kupoteza ladha ya muziki huo wa BongoFleva.

No comments:
Post a Comment