DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, December 27, 2013

Prezzo kufunga Ndoa?


 
Baada ya kutalikiana na mke wake hivi karibuni na kuanza mahusiano mapya, msanii maarufu wa Kenya Prezzo anatarajia kufunga tena ndoa.
Imeelezwa kuwa Prezzo ambaye umri wake umeanza kupiga hodi huenda akatimiza zoezi hilo la kufanya harusi kubwa siku za usoni, ambapo mkali huyo amesema kuwa mwanamke atakayemuoa bado ni siri yake kwa sasa.

Imedokezwa kuwa Prezzo huenda akafunga harusi na mwanamke wake ambaye anatokea Afrika Mashariki, na kwa kifupi tu hii itakuwa ni harusi yake ya pili baada ya ile ya mwanzo aliyoifunga na Daisy Kiplagat. 

No comments: