Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C.
Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu yake.
Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu yake.
Baada ya matibabu hayo, muimbaji huyo wa ‘Niwe Nawe Milele’ amerejea
kwenye afya yake ya kawaida na sasa yupo busy kurekodi nyimbo mpya na
huenda mapema mwaka 2014 akarejea kwa kishindo. Pamoja na kupewa gari
nzuri ya kutembelea, Ray C ameionyesha nyumba yaka anayoijenga na
iliyokamilika kwa asilimia kubwa huku ikifanyiwa upambaji wa ndani tu.
Ray C ameionesha nyumba yake kwenye Instagram kwa kuandika: Love the color of ma new house!!!! Under construction #godisgood#workhardplayhard.”
HABARI NA TIMES FM
HABARI NA TIMES FM
No comments:
Post a Comment