inaly!!!!!!……….I hope We ushacheza na kuimba saaaaana na Diamond…
Finaly!!!!!!……….I hope We ushacheza na kuimba saaaaana na Diamond…
sasa hii ni maalum kwa Mtoto wako, Mdogo, Ucle, Aunty yako inshort
Family!…ni this wednesday 25/12/2013 Christmass katika kiwanja cha
Leaders Club, itamwagwa Michezo yooooote ya watoto ikiambatana na
Burudani Kali toka @Wcb_wasafi ….ZINGATIA! Kuna kitu cha RedCarpert
Maalum kabisa kwajili ya Watoto, hivyo hakikisha mwanao UnaMnyukisha
vyakutosha!… Mvalishe kama Diamond, Aimbe kama Diamond, Acheze kama
Diamond, Ikiwezekana hata nywele Kiduku cha njano kama Diamond…. Kwani
nini si nini ama????? Sponsored by @Cocacolatz watoto Dressed by
@babyishtz cC @iviewstudios
No comments:
Post a Comment