Rapper anayefanya vizuri katika game ya Hip Hop
hapa nchini kutoka Arusha, Joh Makini AKA Mwamba wa Kaskazini … Katika
siku kuu ya Christmas rapper huyu alitoa burudani ya kutosha pale
alipopanda katika ukumbi wa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala –
Zakheem, jijini Dar es Salaam. Mwana Hip Hop huyo mwakilishi wa kundi la
weusi alikuwa kivutio kikubwa katika shoo hiyo iliyohudhuriwa na
mashabiki wa muziki wa kitanzania, Tazama hapa jinsi rapper huyo alivyo
pagawisha mashabiki walio hudhuria katika ukumbi huo …
No comments:
Post a Comment