
Ni track nzuri
inayoelezea madhara ya madereva ambao hawapo makini barabarani, kupitia
uzembe na kutokua makini husababisha vifo visivyo tarajiwa. Bullet Wallet akishirikiana na Afande Sele, pamoja na Dayna Nyange wanasema “Mwendo Wa Kasi”..Hii hapa
No comments:
Post a Comment