Msanii wa hip hop Nicholous Haule alias Black Rhyno alimpeleka mkewe
Beatrice Mmbaga katika hospital ya Tumaini iliyopo jijini, Dar es Salaam
kwa ajili ya Ultra sound.
Black Rhyno ampeleka mke wake Beatrice hospitali ya Tumaini kwa ajili
ya kuchek afya ya mke wake pamoja na kujua maendeleo ya mtoto akiwa
bado akiwa tumboni.
No comments:
Post a Comment