Mwanzilishi wa kundi la East Coast Team (ECT) “Crazy Gk” aliyetamba na
nyimbo kama sauti ya Manka, miko kumi ya rap, sister sister na simba wa
afrika anamipango ya kurudi kwenye game la bongo flava.
Msanii huyo aliyepotea kwa muda mwingi akiwa masomoni sasa anataka
kurudi tena kwenye game na atazindua wimbo wake mpya wiki ijayo kupitia
radio station tofauti tofauti hapa Tz.
No comments:
Post a Comment