Msanii kutoka pande za uganda Jose Chameleone ameomba msamaha kwa
mashabiki wake wa Dubai baada ya kuahirisha show yake iliyotakiwa
kufanyika Dhow palace.
APOLOGIES to my Dubai fan base. The show that is supposed to be at
the Dhow palace this weekend has been postponed to a future date due to
delay of the promoters work allowance permit.
Will update you when all is fixed LILONGWE, MALAWI HERE I COME.
No comments:
Post a Comment