DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Saturday, August 17, 2013

“KAMA ZAMANI”- MwanaFA Feat. THE KILIMANJARO BAND(NJENJE),MANDOJO & DOMOKAYA (OFFICIAL VIDEO)


Naweza kukiri kwamba miongoni mwa nyimbo ambazo kwa mwaka huu nimeziona ni bora basi kwenye orodha hiyo lazima wimbo wa MwanaFA, Kama Zamani uwepo. Katika wimbo huo MwanaFA amewashirikisha Mandojo na Domokaya, The Kilimanjaro Band(Njenje) huku saxaphone ikiwa imepulizwa vyema na Mafumu Bilali. Of course mpango mzima ulikamilikia pale Bongo Records chini ya P-Funk Majani.
Wakati bado audio ya wimbo huo ipo vichwani mwa watu,hii hapa ni video rasmi ya wimbo huo….Watch It

No comments: