Video ya Jokate na Lucci iliyotengenezwa na production za ogopa kutoka kenya imegharimu jumla ya million 10-12 Tsh.
Lucci na Jokate wanamipango ya kuendeleza kaka dada mpaka kwenye
movie. Kama bado ujapata chance ya kuiona video hii basi bonyeza
hapa
No comments:
Post a Comment