Ngoooshaaa ukipenda
waweza muita Fareed Kubanda kwa jina alilopewa na Wazazi wake na pia
waweza muita Fid Q akikamua na msanii mwenzake Izzo Bussines ndani ya Uwanja wa New City Pub,
jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Mwanadada nguli katika tasnia ya Muziki hapa nchini, Muite Bint
Komando au Lady Jaydee akifanya vitu vyake ndani ya jukwaa moja la
Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013, lililofanyika kwenye New City Pub, jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Wakazi wa Mbeya wakionyesha furaha yao kwa kupunga mikono juu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Wakazi wa Mbeya wakionyesha furaha yao kwa kupunga mikono juu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment