DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, August 29, 2013

(NEW SONG) G NAKO FT HENRY ~ WARAWARA NA MPIRA



Ngoma inaitwa WaraWara na Mpira (Mr Lover), wimbo mpya wa G-nako akiwa amemshirikisha Henry,toka Wakwetu Jazz Vibe. Kazi ikiwa ni pishi la studio mbili, Noizmekah Arusha kwa Defxtro pamoja na B records kwa Chizan Brain.

No comments: