DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Sunday, August 25, 2013

SERENGETI FIESTA 2013TABORA NOMAA SANAAA USIKU WA JANA UWANJA WA AL-HASSAN MWINYI..!



Abdul Kiba,msanii wa muziki wa bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua kabisa cha Serengeti Premium Lager.
kwa habari zaidi na picha bonyeza hapa

No comments: