Tokemeza zero ni wimbo wenye lengo la kupunguza matokeo mabaya
mashuleni. Wasanii wakali wa bongo kama Linex, Peter Msechu, Mwana Fa,
Lina, Mwasiti, Stamina, Diamond, Maunda Zoro, Keisha pamoja na Kala
Jeremiah wote kwa pamoja wamekusanyika na kufanya ngoma hii.
Kwenye verse ya kwanza amesimama Mwana FA, Lina, Roma, Peter Msechu
wakati verse ya pili amesimama Kalla Jeremiah, Stamina, Diamond,
Mwasiti, Keisha, Maunda Zoro na kwenye chorus ni linex, Peter Msechu na
Keisha
No comments:
Post a Comment