Msanii wa kizazi kipya (Bongo Fleva) Nassib Abdul a.k.a DIAMOND akiwajibika jukwaani na madensa wake wakati wa Tamasha kabambe la Kilimanjaro music Tour 2013.
Onyesho lilifanyika pale uwanja wa CCM kirumba,jijini mwanza.mwishoni wa wiki na kuhudhuriwa na umati wa wakazi wa mwanza na mikoa ya jirani ambao hawakutaka kupitwa na onyesho hilo kabambe.
Kwa habari zaidi onyesho hili
bonyesha hapa.
No comments:
Post a Comment