Wenywewe
wanajiita Makomando,wakilishambulia jukwaani kwa pamoja usiku huu
wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea ndani ya Singida
Motel.
Ni full kujiachia usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,wengine wakiwa juu ya miti aaahhh nomaa sanaaa.!
Baadhi
ya wakazi wa mkoa wa Singida wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 linalofanyika kwenye viwanja vya
Singida Motel usiku huu.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Petter Msechu akiwaimbisha mashabiki wake
waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta
2013 linaloendelea hivi sasa ndani ya Singida Motel.
No comments:
Post a Comment