Baada ya kufanya vyema katika truck ya Ben pol ‘Waubani’ Alice Kibopile aka Beautiful Alice, sasa anajiandaa kuachia ngoma yake.
Alice alifunguka na kusema “ Namshukuru sana Benpol kwa kugundua my
talent pamoja na kuniamini na kunipa collabo nikiwa bado sijajulikana
katika ramani ya muziki, na kwa sasa najiandaa kufanya wimbo wangu jina
kapuuni na ntakuwa natumia style ya R&B.”
Pamoja na kutoa pongezi kwa Benpol, Beautiful Alicealitoa pongezi kwa fans wake walionza kumsapoti tangu alivyosikika katika ngoma ya Waubani.
Pamoja na kutoa pongezi kwa Benpol, Beautiful Alicealitoa pongezi kwa fans wake walionza kumsapoti tangu alivyosikika katika ngoma ya Waubani.
No comments:
Post a Comment