Baby Madaha amesaini mkataba wa milioni 50 na kampuni ya cand n’ candy records iliyo pande za Nairobi.

Meneja wa baby Madaha Joe Kariuki amesema kuwa pamoja na msanii huyo
kupewa mkataba huo wa millioni hamsini (50) pia wamempa mwanadada huyo
gari ya kutembelea ya kisasa aina ya AUDI TT na nyumba kali mitaa
kijitonyama jijini Dar es salaam.
Mmiliki wa studio za candy n’ candy amesema anamipango ya kumuamisha
Baby Madaha jijini Nairobi ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
No comments:
Post a Comment