DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, September 4, 2013

MADEE KUJA NA NGOMA MPYA “TEMA MATE TUWACHAPE”


September
4




Msanii kutoka kundi la tip top connection Madeee anayetamba sana na ngoma ya “pombe yangu” siku za karibuni amepanga kuachia ngoma mpya itakayoitwa Tema mate tuwachape.
Wimbo wa pombe yangu umempa Madee umaarufu mkubwa hapa Tz na hata nje ya Tz. Kwa upande wa call back tunes wimbo pombe yangu umemuingizia Madee kiasi cha Tsh 130 million.

Producer Marco Chali ndiye mtayarishaji mkuu wa nyimbo hiyo mpya ya Madee



No comments: