DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Monday, September 9, 2013

DAR MKO TAYARI NA KILI MUSIC TOUR?

 


Baada ya lile Tamasha kubwa kupita yote ya muziki Tanzania Kili Music Tour 2013 Kikwetu Kwetu 'kufanya yake' kwenye mikoa mbali mbali ya Tanzania (Dodoma, Tanga, Moshi, Mwanza, Mbeya, Kigoma and Kahama), sasa tunadondoka Dar-es-salaam... Mko tayari?

LEADERS CLUB Jumamosi hii (14/09/2013) itanukia marashi ya kikwetu kwetu kutoka kwa wakali wa muziki Tanzania wakiwakilishwa na:

1. Diamond Platnumz
2. Profesa Jay
3. Kala Jeremiah
4. Nay wa Mitego
5. Madee
6. Mzee Yusuph
7. Roma
8. Lady Jay Dee
9. Recho
10. Joh Makini
11. Mashujaa Band
12. Linex
13. Ben Pol

Kuna wa kumkosa hapo? Gusa unase!

#KiliMusicTour2013 #KikwetuKwetu

No comments: