Bendi
Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band,inampongeza
mwanamuziki Bi.Hafsa kazinja kuwa mwamuziki mfano wa kuigwa baadala ya
mwanadada huyo kuingia Studio na kurekodi mmoja ya nyimbo ya NUTA kwa
ajili ya kumuenzi Mkongwe wa muziki wa dansi ambeye amejiuzulu Mzee
Muhidin Maalimu Gurumo.
Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni wamemtaja mwanamuziki Bi.Hafsa Ngazinja kuwa ni moto wa kuotea mbali ,pia ni mfano kwa wengine,kwani mwanamuziki huyo amewashirikisha wakongwe akina "Salvador" na Omary Mkali katika kurekodi Studio, wimbo huo "Nimuokoe Nani" ni sawa na dhahabu iliyoibuliwa upya.
Sikiliza wimbo huo kwa bonyeza link hii hapo chini.
No comments:
Post a Comment