DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, September 13, 2013

"HAPPY BIRTHDAY OMMY DIMPOZ"

 

Leo ni siku ya kuzaliwa hitmaker wa Lupogo Omar Faraji Nyembo a.k.aOmmy Dimpoz. Kupitia mtandao wa instagram kuwashkuru wale wote waliofanikisha mafanikio yake.....

 Dj-boston blog inakutakia kila la kheri afya njema na maisha marefu ili uzidi toa burudani team wasafiii....

..............

No comments: