Hivi ndivyo Serengeti Fiesta 2013 noma saana ilivyokuwa ndani ya uwanja wa Samora mkoani Iringa usiku wa kuamkia leo.
Mkali mwingine wa mitindo huru a.k.a freestyle,Godzilla akikamua vilivyo jukwaani.Na video chini ni msanii Rich Mavoko na skwadi lake wakilishambulia jukwaa.
No comments:
Post a Comment