Msanii maarufu kutoka
Africa Magharibi (Nigeria, Lagos) J.Martins, ametua jijini DSM na
kushirikiana na Kampuni ya simu Vodacom Tanzania kuwatembelea na kutoa
msaada kwa watoto yatima wa kituo cha Chamanzi Mbagala Yatima Trust,
kilichopo Mbagala Dar-Es-Salaam Tarehe 12/09/2013. Pia msanii J.Martins
atakua na Event [13/09/2013, Friday] iliondaliwa na ELEMENTS & SK
ENT iitwayo East Meets West ambayo J.Martins atakua Host wa Event hio,
Na pia kutakua na utambulisho wa video mpya ya wimbo ‘BILA KUKUNJA
GOTI’, Kutoka kwa wasanii wanaofanya kazi ya muziki vizuri East Africa
AY na Mwana FA. Event hio ya East Meets West itafanyika kwenye Lounge ya
Elements Jijini Dar-Es-Salaam saa 18:00. Ijumaa 13/09 kwa kiingilio cha
20,000 Tshs. Click Readmore kutazama Picha za J.Martins akishirikiana
na Vodacom kuwasaidia watoto yatima wa kituo cha Chamanzi Yatima Mbagala
Trust.


No comments:
Post a Comment