DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, September 10, 2013

KUELEKEA KILI TOUR 2013 DAR - PRESS CONFERENCE

Baadhi ya picha za waandaaji wa Tamasha la Kili Music Tour 2013 na wasanii watakaoperform kwenye tamasha hilo Leaders Club Jumamosi hii.

 
 Meneja wa chapa ya Kilimanjaro akiwa na wasanii.


 
Diamond Platnumz akizungumza
— in Dar es Salaam, Tanzania.
  

 Ben Pol akizungumza show hiyo itakayofanyika dar Jumamosi hii

Madee naye yupo kwenye tamasha hili. — in Dar es Salaam, Tanzania.

 

 Kala Jeremiah akizungumza


 
Joh Makini naye atakuwepo kwenye tamasha hili jijini Dar.

 
 
Mkurugenzi wa Mashujaa Band akizungumzia kuhusika kwao kwenye tamasha.
  in Dar 

No comments: