DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Monday, September 30, 2013

Mack Malick Simba(Mack 2b),afariki dunia







Msanii na prodyuza wa Bongo Fleva na Ragga, Mack Malik Simba ‘Mack 2B’ amefariki dunia. Kwa mujibu wa kaka wa marehemu, Msafiri Masharubu, Mack 2B amekutwa na umauti leo asubuhi akiwa nyumbani kwao Yombo, jijini Dar es Salaam. 
Masharubu alieleza kuwa Mac alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kwa kipindi kirefu. 
Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa memba wa Kundi la Wateule na prodyuza kwenye studio za Enrico pale Sound Crafters, ikiwa ndiyo studio ya kwanza kufanya vizuri kutoka katika Wilaya ya Temeke.
 

No comments: