DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, September 18, 2013

MESEN SELEKTA KAZI ZA DE FATALITY MUSIC KUPATIKANA KATIKA SIMU ZOTE ZA ANDROID

MESEN SELEKTA KAZI ZA DE FATALITY MUSIC KUPATIKANA KATIKA SIMU ZOTE ZA ANDROID

Baada ya makamuzi ya uhakika De fatality Music wapeleka kazi zao katika app ambayo itatumika kwenye simu zote zenye Android.

Mesen Selekta alifunguka katika moja ya Interview yake na mwandishi wa Baabkubwa na kusema” Kwa sasa kazi zote za wasanii wa De fatality music kama nyimbo mpya,video na picha za studio zitakuwa zinapatikana kwa application ya Android, so hapo unaweza uka-download free au kununa

No comments: