Msanii Ommy Dimpoz kutoka
Tanzania, amewasili nchini Marekani kwa ajili ya kupiga show katika
miji ya Washington DC siku ya September 21 ambayo itakua jumamosi hii,
alafu ataelekea Houston September 28 kufanya show nyingine na kisha
kumalizia Los Angeles October 5. Baada ya show hizo msanii huyo atarejea
nyumbani Tanzania kwa ajili ya Serengeti Fiesta.

Ommy Dimpoz akiwa ndani ya Limo na mmoja wa wenyeji wake mara tu baada ya kupokelewa na wenyeji wake pale washington D.C



No comments:
Post a Comment