Msanii wa kizazi kipya
kutoka Tanzania, Omari Faraji Nyembo famously known as Ommy Dimpoz
anayetamba kwa ngoma yake ya TUPOGO aliyomshirikisha msanii J.Martins
[Nigeria] afanya Interview kwenye kituo cha Voice Of America, akielezea
Tour yake ya Tupogo na timu yake nzima ya Poz Kwa Poz huko nchini
Marekani. Kwa sasa msanii huyo yupo Washington DC kwa ajili ya kufanya
show…
No comments:
Post a Comment