Juzi ijumaa me na mwanangu True
boy tulikuwa na onyesho la music
.campaign ni ile ile...kudhihirisha kuwa music wa kisasa upo
kwetu sisi wanaotuita wakata viuno,for real napenda kabisa niwashukuru tena wa
tu wetu wa Zanzibar mlionyesha sapoti na
mapenzi ya kweli kabisa mwisho wa siku na sisi tuliwarudishia
shukrani kwa kuwapa burudani iliyowastahili...check out picha za matukio
yote
mimi na True boy,ujionee mwenyewe nani alikaa
 |
| Nay kwa stage |
 |
| Ndiyo ulikuwa unaimba nini sasa huko!!!!subiri nikakufurahishe |
 |
| Sitii neno hapa.......... |
 |
| Fujo zetu tukazianzia hapa |
 |
| Anaimba vitu gani huyu!!!? |
 |
| Mziki hamuuwezi nyie ni ubabe tu..bora nikimbie usijenitia mbata ..ha ah ha ha!! |
 |
| Hii stayle alipoitoa Nay,anaijua mwenyewe |
 |
Baada ya show backstage na baadhi ya mashabiki waliotaka kupiga picha kwa ajili ya kumbu kumbu zao |
 |
| Nashukuru pia Jeshi la polisi,ulinzi ulikuwa umeimalishwa sana |
 |
| Hotelin tukipata upepo nje na kutafakari show zingine zilizokuwa zinafuata |
No comments:
Post a Comment