DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, September 17, 2013

VIATU VIREFU VYA MUUMBUA LADY JAY DEE

Msanii bora wa kike wa tuzo za Kilimanjaro Music Award 2012-2013 “Judith Wambura” aka Lady Jay Dee au unaweza kumuita Anaconda, amekiri wazi kupitia ukarasa wake wa facebook kuwa


“Kuanguka jukwaani ni ajali kama ajali zingine, isitoshe sikuanguka bali nilikaribia. Ila poleni kwa mlioumizwa na hicho kitendo…Nitapunguza urefu wa viatu siku nyingine”
Hivi ndivyo Lady Jay Dee alivyokuwa amevaa siku ya Kili Music Tour 2013 pale Leaders..

No comments: