The session week hii imemzungumzia Yule Producer mkali wa hit ya Diamond Platnumz Number 1 Shebby Clever hapa anaelezea safari yake ilivyokuwa ngumu mpaka alipofika sasa mpaka alipotaka kukata tamaa......akiwa na umri mdogo tayari amshakuwa nominated kuwania tuzo za KTMA kama producer bora anaechipukia.
No comments:
Post a Comment