Msanii kutoka Ghana Fuse ODG atafanya show ya nguvu hapa bongo tarehe 7th/semptember/2013. Wasanii wa bongo ambao watatumia jukwaa moja na Fuse ODG kutoa burudani kwa mashabiki watakao udhuria tamasha hilo ni kama ifuatavyo
1. WAKALI DANCERS

2. MARCO CHALI FOUNDATION

3. MWINYI MACHOZI

4. DOGO JANJA

5. WAKAZI

6. H.BABA

7. SNURA
8. MADEE
wasanii wengine ni hawa...
9. AIKA & NAHREEL
10. DOGO ESKIDE, ALLY COM
11. LULU
12. BANANA ZORO
13. BHITZ MUSIC ARTISTS
14. KING KAPITA
15. TUNDAMAN
16.MAGENGE

No comments:
Post a Comment