Janjaro msanii
kutoka Arusha lakini makazi yake yapo Dar amefunguka na DJCHOKAblog kuwa
hajafukuza na Ostaz Juma Namusoma kwenye kampuni yake ya Mtanashati
bali amejitoa mwenyewe kwa hiari yake. Janjaro amesema amechoka na
matendo tu ya Ostaz na alikuwa tu akiyavumilia lakini kwa sasa
ameshakuwa mkubwa so nataka nikae kivyangu vyangu nifanye mambo yangu
kama wasanii wengine ambao hawana meneja na wanafanya poa. Namnukuu
Janjaro akisema....
Kwa habari zaidi bonyeza hapa
No comments:
Post a Comment