DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, October 24, 2013

(VIDEO) ~ AMINI AKIFUNGUKA JUU YA UHUSIANO WAKE NA LINAH.

 





















Watu wengi na hasa wapenzi wa mziki mzuri kutoka kwa Amini Mwinyimkuu na Linah Sanga wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi waliokuwa nao umeishia wapi.



Kupitia Kurasa ya EATV Amini amethibitisha juu ya kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na Linah lakini pia mahusiano yake mapya.

No comments: