DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Sunday, November 17, 2013

DIAMOND haudhuria harusi ya PETER wa PSQUARE muda huu huko LAGOS-NIGERIA

 
 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond

No comments: