DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Saturday, November 16, 2013

JUMA NATURE ~ DOGO (OFFICIAL VIDEO)



Juma Kassim Kiroboto a.k.a Sir Nature ameachia rasmi kichupa cha ngoma yake mpya inayosumbua sana hapa Bongo kwa sasa ambayo ilifanyika ndani ya studio za Halisi Record studio inayomilikiwa na Nature mwenyewe.

Video hiyo imefanywa na Showbiz defined chini ya director ambaye ni msanii wa kitambo sana, Mike Tee.
ENJOY DA’ VIDEO…!!


No comments: