DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!
Wednesday, November 20, 2013
NEY WA MITEGO ~ NAKULA UJANA (NEW SONG)
Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Ney wa mitego baada ya ile ya Salaam zao ambayo amewachana watu wengi ndani yake.
Jina la ngoma hii ni ‘Nakula Ujana’, imetengenezwa MJ Records chini ya prodyuza Marco Chali na Mr. Touch ikiwa kwenye mtindo wa Kwaito.
Enjoy…!!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment