Msanii Bebe Cool wa Uganda, ameonyesha kukerwa na mashabiki
waliomshambulia kwa njia ya mtandao baada ya tuhuma za kutokutokea
katika shoo huko Gulu siku ya mwaka mpya, shoo ambayo kimsingi haikuwepo
kutokana na msanii huyu kuwa na ratiba ya kufanya onyesho sehemu
nyingine katika siku hiyo hiyo.
Bebe ambaye aliambiwa na moja ya shabiki wake kuwa aangalie udhaifu wake kwa kukosa onyesho hili la kuzusha, kwa hasira alimtaka shabiki huyu kueleza kama yeye ndiye aliyetoa pesa za kumlipa aende kufanya onyesho hili.

No comments:
Post a Comment