Hamu toka kwa wapenzi wa muziki wa Bongo flava yazidi kupamba joto , kufuatia mkali Diamond Platnumz, kuachia kipande kifupi cha video “Number One” Remix aliyomshirikisha mkali toka Nigeria, Davido kupitia ukurasa wake wa Instagram …. Check it out…
Dj-boston Blog Team itakuletea video hiyo mapema mara tu ikiachiwa….
No comments:
Post a Comment