DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, January 2, 2014

Msanii Avril Wa Kenya, Amuweka Rasmi Hadharani Mchumba Wake …

Avril-Kenya 
 Hit maker wa Hakuna Yule (Missing You) mwana dada mrembo kutoka nchini Kenya Avril, amfichue rasmi mvulana wa kizulu wa South Africa  ambaye ni mchumba wake anayetarajia kufunga naye ndoa baada ya kuwa nae katika mahusiano ya chini chini kwa muda mrefu na mpenzi wake huyo.


Avril_fiance 
 Avril akiwa na mchumba wake katika ndege kuelekea South Africa

Avril alishawahi post katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa mwaka jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.


ring 
 Pete ya uchumba aliyovikwa Avril

No comments: