DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, January 31, 2014

WALICHOKIONGEA AFANDE SELE NA PROF. JAY JUU YA KIFO CHA KENETH KIDAGO…























 

Mara baada ya taarifa kuthibitika kuwa mtangazaji wa kipindi cha michezo Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia, wasanii wawili wakubwa wameweza kuonyesha hisia zao juu ya kifo cha mwanahabari huyo.
Kupitia akaunti zao kwenye mitandao ya kijamii wasanii hawa wawili wamepost status za namna hii…
1/AFANDE SELE
“Wkt huo kituo cha radio(fm) moro kilikuwa kimoja tu nacho ni Ukweli fm kinachomilikiwa na kanisa katoliki jimbo la morogoro,kisanii nilikuwa mchanga sana nikifanya kaz chini ya kaka,rafiki na mwlmu wangu jose mbilinyi(Sugu),CD zilikuwa ni kitu adimu na chenye thamani sana kiasi kwamba nyimbo nilizokuwa nashirikishwa na sugu ktk albam zake nyingi hazikuwa zinapelekwa radioni kama’single’zilikuwa zinabaki ndani ya albam tu(kanda za casset) ili kusukuma mauzo kwa mashabiki,lkn kulikuwa na dj/mtangazaji mmoja tu ndani ya radio ukweli nyakatihizo aliyekuwa ananikubali sana kama msanii wa kwanza kutoka moro kwenda dar ‘kibishi’ na kufanya kazi bora kabisa nikiwa na msanii mkubwa na mkali aliyekuwa anatisha kwa nyakat zile 2 proud,mr 2 baadae sugu na leo ni mh sugu,huyu dj/mtangazaj alikuwa na kiu kubwa ya kuona mimi nasikika kwa mashabiki wa nyumbani moro kwa kila hali hivyo akawa anathubutu kucheza hewani pale
redioni zile nyimbo nilizoshirikishwa na sugu kwa kutumia’Tape’kanda za kaseti’kilazima’ na kweli watu walisikia nami nikasikika ikawa ndio mwanzo wa mimi kukubalika nyumbani na ugenini,yeye
aliitwa keneth kidago lyanga maarufu kama brother’K',baadae alihamia triple A fm Arusha,nj na mwisho alikuwa est africa radio akitumikia vipind vya michezo zaid,nina taarifa za kuumiza sana
moyo wangu juu ya mtu huyu,Keny????RiP ndg wa damu!,,,,” – Afande Sele.

No comments: