
Ni kati wimbo mpya wa Barnaba aka Barnaba Classic, umeanza kushika
kasi kwenye radio mbalimbali hapa Tanzania kutokana na mashairi ya wimbo
kuwa na mahitaji kwa jamii.
Barnaba Classic kwa sasa anakamilisha sehemu ndogo ndogo ya video
yake ili aweze kuachia kichupa chake, na video imetengenezwa na kampuni
Redline Productions.
Stay tuned kichupa kinakuja…
No comments:
Post a Comment