Msanii Mkali anayewakilisha Mbeya City Izzo Bizness anatarajia kuachia ngoma This Week, Hapa Izzo anafunguka zaidi……
”Ni bonge la Ngoma ambayo ni kali sana
ndani yake nimezungumzia walalahoi wenzangu; Hope Mashabiki wangu
wataipenda na itakuwa Gumzo kitaa kwa sana coz inaelezea maisha ya watu
wa kawaida sana, so Wiki hii ndo natarajia kuachia na kuitambulisha
Rasmi, naomba Mashabiki wangu popote walipo waipokee kwa Mikono miwili
coz mimi nakuja tofauti kidogo safari hii,ntagusa kila kona katika
jamiin si zungumzii Mapenzi tu bali nagusa kila Kona na ninapenda kubadilika.
No comments:
Post a Comment