Mshindi wa shindano la
Tusker Project Fame ambaye alikuwa mshiriki kutoka nchini
Rwanda,
Alpha Rwirangira anatarajia kutoa
Video yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la
BIRAKAZE, ambayo amemshirikisha mwanamuziki
Kidumu Kibido,.
Alpha ameshoot video ya nyimbo hiyo nchini
Rwanda na imetengenezwa na
Future Records.
Tazama Behind the Scene ya Video hiyo…
No comments:
Post a Comment